Habarini wadau, naskia kuna mashine ya kusafisha maji ya kawaida ili yafae kwa kunywa na mashine hizo ni kwa matumizi ya nyumbani, ntazipatia wap?
hizo zinaitwa WATER FILTER . zinapatikana NABAKI AFRICA LTD
Zinauzwa bei gani......Zinaweza filter hata maji ya chumvi....
Zinauzwa bei gani......Zinaweza filter hata maji ya chumvi....