Mkuu weka na beiMi ya kwangu ni Hitachi, inafua na kukausha hapo hapo. Hasa nguo nyepesi kama mashati, ndo ukimaliza kufua unapiga pasi unavaa, niliinunua tangu 2008 hadi leo ni nzima inapiga kazi kama kawa. Niliinunua hapo mlimani city kuna wakala wa Hitachi hapo anakupa na warranty.
Sasa mkuu nikupe na bei ya tangu 2008 kweli? maduka huyaoni ukauliza? mi nilinunua 550000/= enzi hizo , leo zinafika kuanzia laki saba hadi milioni huko...nunua ni nzuri hazili umeme kama pasi.Mkuu weka na bei
JMP KAMATA WEZI
LG hata Mimi naikubali.
Tupe specification mkuuSasa mkuu nikupe na bei ya tangu 2008 kweli? maduka huyaoni ukauliza? mi nilinunua 550000/= enzi hizo , leo zinafika kuanzia laki saba hadi milioni huko...nunua ni nzuri hazili umeme kama pasi.
Wheel poolWakuu heshima yenu....nataka nimnunulie shemeji yenu Mashine ya kufulia...sasa sins uzozefu nazo kabisa ninunue gani? nasikia kuna Washer sijui na nyingine gani? kifupi nataka kutumia kufua nguo za aina zote ikiwemo majinsi yanguu..naona yanamtesa sana...msaada kwa wanao jua je ninunue Dry Mashine au gani ingine?
Thanks
Ebu acha zako...hizo..Sasa mkuu nikupe na bei ya tangu 2008 kweli? maduka huyaoni ukauliza? mi nilinunua 550000/= enzi hizo , leo zinafika kuanzia laki saba hadi milioni huko...nunua ni nzuri hazili umeme kama pasi.
Mkuu usinichoshe, vitu vingine jitoe tu kama mimi sikuuliza specification, hofu yako nini