nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,253
Vipi ushaamua utakuwa mwanamke au mwanaume?Pole. Watumishi wa serikali ndivyo walivyo. Usitoe nmbr, Fungua akaunti paypal nkutumie hela. Ila ni virtual, [emoji25]
Nashukuru mkuu kuna mtu ameshajitokeza kunisaidiasasa hapo ukiweka nambayako ndo itapendeza zaidi
Nimepata mkuu kuna mtu ameshanisaidiaUshapata au badoo ndugu yetu
Kama hujawahi kukosa utaona elf 5 kama hela ndogo sana ila siku ukikosa elf moja utaiona kama elf 10..sasa elfu 5 si unakula mlo mmoja alafu unakunya na kuomba tena!!!....we dada unakula hadi hela ya mwisho una shida...si kawaida kwa mademu kuishi hivyo...bora ujiuze tu...maana ni more sustainable... Mwili ni wako na k ni yako...hii ni njia endelevu ya kupata hela kuliko kuomba...
Asante mkuu kwa moyo wako [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Vipi ushaamua utakuwa mwanamke au mwanaume?
Na mimi nitalipa mkuuKumbuka mimi natafuta mkopo nitarudisha kwa mtu atakaenipatia
Wasiwasi wenu ipo siku mtakosa ata mbingu mtu anashida badala ya kumsaidia unaanza kumsia vibaya..!Mmmh
MkVipi ushaamua utakuwa mwanamke au mwanaume?
Kwa mkurugenzi au?Acha usanii... si ukaombe salary advance
Mmmh
Kama umeajiriwa utakua unajua huwa process yake inakuwaje..otherwise kitulizeKwa mkurugenzi au?
Nimeajiriwa lakini siyo serikalini, sasa naomba nisaidie najua mshahara wanaweka hazina sasa hiyo advance unaomba kwa nani? napenda nijue inaweza ikawasaidia na wengineKama umeajiriwa utakua unajua huwa process yake inakuwaje..otherwise kitulize
Nami sijui hiyo ndo naisikia kwako, au hii salary advance ya crdb?Kama umeajiriwa utakua unajua huwa process yake inakuwaje..otherwise kitulize
Cjui huko mliko...lkn waajiriwa wengi wanapata salary advance kama wanashida na hawawezi kufika mwisho wa mwezi... so wanapewa percent flani ya mshahara then iliyobaki wanapewa mwisho wa mweziNami sijui hiyo ndo naisikia kwako, au hii salary advance ya crdb?
mmh haya hii mupya kwangu, poaCjui huko mliko...lkn waajiriwa wengi wanapata salary advance kama wanashida na hawawezi kufika mwisho wa mwezi... so wanapewa percent flani ya mshahara then iliyobaki wanapewa mwisho wa mwezi
Kama hujawahi kukosa utaona elf 5 kama hela ndogo sana ila siku ukikosa elf moja utaiona kama elf 10