Msaada marafiki zangu nitakufa mimi jamani

Mbona benki wanatoa mkopo kwa wafanyakazi wanaopokea mshahara nenda kabla hujatoka ni asililmia 5 tu ya riba wakakukopeshe... anyway tupe namba yako tukusaidie
ivi kuna mfanyakazi wa serikalini hadaiwi kweli
 
Mmmmh kopa kwa wafanyakazi wenzio hapa MTU kukuamini ni kazi.
 
Mbona benki wanatoa mkopo kwa wafanyakazi wanaopokea mshahara nenda kabla hujatoka ni asililmia 5 tu ya riba wakakukopeshe... anyway tupe namba yako tukusaidie
Nahitaji elf 5 tu ya kunisogeza siku ya mshahara
 
Nenda play store, download app inaitwa branch, kopa hiyo sh 5000.
 
Kama huwezi kunisaidia kwa nini usipite kimya tu kuliko kuniongezea stress wakati tayari ninazo za kutosha[emoji17] [emoji17] [emoji17] daah binadam tuna kazi jamani
Haahhahahaha haya pooole basi... msaidie huyu asife
 
Halafu bado mtampigia kura Magufuli tena 2020?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…