[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo hela utumiwe kwa njia gani!? Uaminifu upo vipi?
Niombee nimle mhindi maana nina mikeka nimeiweka nasubiria itiki!!
Kumbuka kuna mibazazi humu... yanasubiri namba iwekwe hewani yafanye yao...hakuna cha bure usawa huu!Weka namba ya simu sasa sio unaomba alafu huweki njia ya kurahisisha kuupata msaada
Wakikupa 10,000 nakupm namba yangu unipunguzie kidogo na mimi nipate kusogeza siku.Uaminifu ninao wapendwa ila kwa atakae penda kunisaidia kweli naomba anione pm nimpatie namba maana kuianika hapa sio vizuri sana.
Nikipata elf 5 tu nitashukuru angalau leo na mimi nile hata ugali na dagaa
Kumbuka mimi natafuta mkopo nitarudisha kwa mtu atakaenipatiaWakikupa 10,000 nakupm namba yangu unipunguzie kidogo na mimi nipate kusogeza siku.