Huwa inaitwa insecurity, ni zao la kupenda kitu kupita kiasi kwamba unakuwa na hofu kisipotee au kuharibiwa! Mara nyingi kichocheo ni kuwa loose bila kuwa busy inaupa muda akili yako kufikiria mpenzi zaidi kuliko mambo mengine.
Hii hali ikikutokea kwa mpenzi wako manaake utaanza kumchunga,utaanza kutaka akujibu sms kila unapotuma tu,akiteleza kidogo utaanza kuhisi analiwa nje na wahuni! Akikunyima K ndio moto utawaka balaa!