Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 798
- 843
Ni kweli amependa kupita kiasi na huyo aliempenda hajampenda kama yeye alinavyo mchukulia iliwahi kunitokea hiyo hali lakin yule manzi alikua ananiambia jiaminiHiyo hali haina tiba nahii hutokea pale unapokua umempenda mwanamke kupitiliza, Labda tiba yake inawezakana tu pale utakapozoea matendo yake.
Mmm, solution ni nini mkuuHiyo hali haina tiba nahii hutokea pale unapokua umempenda mwanamke kupitiliza, Labda tiba yake inawezakana tu pale utakapozoea matendo yake.
Karibu mkuuPm nkushaur jambo
Aiseee😂😂😂!hata hasipopokea
Hiyo hali haina tiba nahii hutokea pale unapokua umempenda mwanamke kupitiliza, Labda tiba yake inawezakana tu pale utakapozoea matendo yake.
Huwa inaitwa insecurity, ni zao la kupenda kitu kupita kiasi kwamba unakuwa na hofu kisipotee au kuharibiwa! Mara nyingi kichocheo ni kuwa loose bila kuwa busy inaupa muda akili yako kufikiria mpenzi zaidi kuliko mambo mengine.Ni kweli amependa kupita kiasi na huyo aliempenda hajampenda kama yeye alinavyo mchukulia iliwahi kunitokea hiyo hali lakin yule manzi alikua ananiambia jiamini
Issue siyo kuwa na mademu wengi. Unaweza ukawa na mademu wengi lakini nafsi yako ikawa empty. Kikubwa ni kujipenda kwanza wewe, na kufurahia company yako, hata ukiwa na company ya watu wengine utafurahia uwepo wao kwa muda huo, mkiwa mnashare moment tu. Hakuna kinachodumu na hakuna kisicho na mwisho. Hao mademu hautakuwa nao 24/7 kuna muda utakuwa peke yako. Kwahiyo kuna umuhimu wa kufurahia company yako.Kila siku nawaonya mwanaume huwezi kuwa na demu mmoja lazima uwe na backup
Kabisa mkuuHuwa inaitwa insecurity, ni zao la kupenda kitu kupita kiasi kwamba unakuwa na hofu kisipotee au kuharibiwa! Mara nyingi kichocheo ni kuwa loose bila kuwa busy inaupa muda akili yako kufikiria mpenzi zaidi kuliko mambo mengine.
Hii hali ikikutokea kwa mpenzi wako manaake utaanza kumchunga,utaanza kutaka akujibu sms kila unapotuma tu,akiteleza kidogo utaanza kuhisi analiwa nje na wahuni! Akikunyima K ndio moto utawaka balaa!
Apo sasaHalafu kuna wakulungwa wanasema mwanamke ni kiumbe dhaifu....
Kweli mkuu, Ni Bora kubalance shoboUkimpenda mtu mpe nafasi ya kufanya mambo yake ili na wewe ufurahie mambo yako. Huyo ukiachana naye utaumia sana, kwa sababu umeshakuwa obsessed naye to the point yupo kwenye mawazo yako muda wote mkuu.
Mbaya zaidi utampoteza huyo mpenzi wako sababu utageuka kuwa kero kwake!Kabisa mkuu