Msaada: Mapenzi na masomo

Msaada: Mapenzi na masomo

fikra zako ziliconvertiwa ma maneno matam zikawa kupenda.. pole sana mbona hzo ishu zmewakuta wengi
 
sawa mkuu! Ila kumbuka ukikazana kusoma na ukawapa kisogo wanaokutokea wakati huo na mpaka umalize chuo fani kama za udaktar nk zenye kusoma mda mref ad unazeeka itakuwaje?

Naomba nikujibu hili mkuu:-wewe kama mtoto wa kike uaikubali umri ukupite sana kabla ya kuolewa,hata kama unasoma mbona unaweza kuolewa na still ukaendelea kusoma ukiwa ndoani....

Ninamjua akiyesoma kozi ya muda mrefu na aliwatosa wanaume wengi tuu(na ajabu ni kwamba walikuwa wasomi pia ) Sasa mdada ana uchumi mzuri ila hana mume wa kudumu wala mtoto (she is in menopause)
 
nashukuru mkuu ila naongelea sisi ambao tupo mikonon mwa wazaz ambao hawatak tujìharibu mpaka tuwe na kaz sasa kazi ishu kupata. tunaishia kuendelea kusomeshwa zaidi.
 
Back
Top Bottom