Hbr wakuu! Naomba msaada juu ya hili, kupata mpnz wkati mnasoma mkiw na lengo m1 kuoana baada ya masomo. Ni hv Mchumb tuliyependana wakti tunasoma lengo kuoana baadae tuliheshimiana vzur hakunigusa sikumgus mpka tunamaliz baadae kila m2 kwao. Ila wkati tpo mbali mawcliano yalipungua hapig/hpokei sim wala msg, akijbu 'we ni malaya kona kutusumbua tumepumzika' iliniuma nkamwaga chin. Ajabu miez m2 tu msg zikaingia nying ooh naham na ww! Twende room akadai tuonane. Nlpomwona tu nkamuulz juu y msg za awali, alikana s yey nikuwa watu wanashkaga cm yake weng nkamsamehe coz nami yanaweza tokea kwang ila room no!nooo! Akarud mkoan kwao. TATIZO: akiwa mbali mawasliano yanakufa kinachonuz akitak tuonane ye n room tu hapang mengne na msg ni ya shida za room tu otherwise no comunication. Kiukweli siyaelew haya malove yaan ukwaacha mnaosoma nao unajshaua ukiwafata mwisho wa siku ndo huo hupat mlengwa! Ukfata mtaan oh kachokw chuon/ katumika sana...! Ukikaa single anagundu! Oh wasomi wanabagua eeeh!