MSAADA:MAOMBI YA NAFASI CHUO KIKUU

MSAADA:MAOMBI YA NAFASI CHUO KIKUU

Bobogojobangu

Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
16
Reaction score
6
Ndugu nilituma maombi chuo cha ardhi kila kitu kilienda sawa ila hapo kwenye TCU status nimeshindwa kupaelewa tatizo ni nini iliniweze kurekebisha maana first round selection nimekosa nataka nijaribu round ya pili
Screenshot_2018-09-03-18-19-38.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyoisoma mimi inaonyesha TCU status yako hujawahi kudahiliwa huko nyuma. Kama ni hivyo hakuna tatizo, Utakuwa umekosa kwa sababu nyingine-chuo cha Ardhi kinatakiwa kukuambia kwa nini umekosa.
 
Nilivyoisoma mimi inaonyesha TCU status yako hujawahi kudahiliwa huko nyuma. Kama ni hivyo hakuna tatizo, Utakuwa umekosa kwa sababu nyingine-chuo cha Ardhi kinatakiwa kukuambia kwa nini umekosa.
Asante sana mkuu tatizo pia limekuwa hilo chuo hawajaeleza kwanini nimekosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom