Msaada: Manyara National Park

Acha kudhani. Umeshawahi kutembelea park yoyote na kuchukua tour guide? Ni shilingi elfu moja za kitanzania. Mimi ndio ninayolipa[/QUOTE
Asante,nimetembelea mbuga zote kaskazini.Guide wana demand elfu kumi.inawezekana nimedhuliwa?
 


King'ast..

Kuhusu familia lisikupe tabu sana.. Familia nyingi za kiAfrika ni Extended Family...

Nategemea kuja PM tuongee mengi.
 
Last edited by a moderator:
Unakosea utaratibu, hiyo ni makubaliano yenu kwa hiyo haiwezi kuzuiliwa. Ukiwa mbugani unapaswa uingie ofisini na kuomba tour guide. Unalipia tzs 1,000/- na unapewa risiti ya njano ile ya jamhuri. Sasa kama unasemea shida yako kwenye parking, hiyo ni 'genji'.

Japo kwako ni cheaper, manake mie siwezi kutoka na guide nikazurura nae kutwa nzima na nisimnunulie lunch na kumpa tip ya tzs 10,000/- pia. labda awe hajanifurahisha hata kiduchu
Asante,nimetembelea mbuga zote kaskazini.Guide wana demand elfu kumi.inawezekana nimedhuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…