Kaachini na mkeo umeweleze au kama anayajua usikie ushauri wake,kama anataka kwenda na mama yake usimbanie mpe nauli tena wasindikize mpaka Ubungo kuonyesha msisitizo kua hujanuna yote ni majaliwa ya mwenyezi mungu.Baada ya kukumbwa na upepo wa kutumbuliwa kibarua changu, hali yangu kiuchumi imeyumba mno kwani kwasasa mambo yangu mengi hayaendi, wale waliokuwa wananitegemea ikiwemo mama mkwe wangu siwatumii tena vijisenti. Sasa toka wiki iliyopita mama mkwe yupo hapa nyumbani akicheki menyu yenyewe inalegalega dagaa mchana kwa usiku.
Amenipa ultimatum, nimuache mwanae kwani ninamtesa mwanae na yeye kiujumla, amenambia kufikia mwisho wa mwezi huu niwe nimetoa talaka la sivyo ataenda kwa mganga kuniloga nife ili mwanae aolewe na wenye pesa. Wadau nifanyeje maana mama mkwe ndio huyo katoa kauli yake na kesho yeye anaondoka kurudi kijijini Buhigwe mkoani Kigoma.
Ulitumbuliwa kwa sababu gani, au ulikua king`ang`anizi kama [HASHTAG]#bashitedizaini[/HASHTAG]mke wangu anamsikiliza mno mama yake
Aiseee, mjadala ufungwe rasmi kwa comment hii... 😉Muache, nikutafutie kitoto kidogo kitakachokujali kwa shida na raha
Peleka hilo jambo kwa viongozi wako wa kiroho watakusaidia sana!Baada ya kukumbwa na upepo wa kutumbuliwa kibarua changu, hali yangu kiuchumi imeyumba mno kwani kwasasa mambo yangu mengi hayaendi, wale waliokuwa wananitegemea ikiwemo mama mkwe wangu siwatumii tena vijisenti. Sasa toka wiki iliyopita mama mkwe yupo hapa nyumbani akicheki menyu yenyewe inalegalega dagaa mchana kwa usiku.