Msaada: Mama Mkwe ananitesa kisaikolojia

Msaada: Mama Mkwe ananitesa kisaikolojia

Mwanaume kamili huwezi lalamika jambo kama hilo... mambo kama hayo umemruhusu mpka mkwe wako kukuamulia? Ka vp mpe mwanae aondoke naye... tunakukaribisha kweny chama letu japo uliasi
Hakuna rahaa km kuwaa bachelaa bhanaa MTU asikwambie
 
Kama wewe na mkeo mnaelewana mpuuzie tu mama mkwe! Kwani hana kwake? Akichoka kula dagaa asepe tu. Wamama wengine wameharibu ndoa zao basi hawatulii mpaka waharibu na za watoto wao! [emoji51][emoji51][emoji51]
Ndo maana,ndoa nyingi
Skuhiz znavunjwa na,wazaz wenyewe
 
Ongea na mkeo kama
Nae anamsaport mama ake
Bhas huna bud hapo
Ww mfungulie tu mlango
Alioingilia na atokee huo huo
 
Mkataba wa ndoa ni mkataba wa maisha ya shida na raha, ugonjwa na uzima... Nadhani hawakuuelewa huo mkataba... Usiache mke, wape mkataba wausome upya...
 
Huyo mama mkwe atakuwa wa kimjinini mjini....
Wewe ndo kichwa cha familia ,inabidi uwe na maamuzi la sivyo watakuendesha hovyohovyo
 
Talaka haimhusu

Mwenye kudai ni binti

Sasa hivi fight mambo yakikaa vizuri usimtumie hata shilingi 10 akale kwa hao wanaume wenye pesa anapotaka kumpeleka mwanae

Kwani dagaa sio chakula?????

Na mwanae kama ana akili mbili mwambie asepe tu akipenda

Hakuna kuroga wala kurogezewa
 
Si umfukuze huyo mama arudi kwa bwanake? Anakung'ang'ania ww mwambie ni mume wa mtu asikuzoee
 
Baada ya kukumbwa na upepo wa kutumbuliwa kibarua changu, hali yangu kiuchumi imeyumba mno kwani kwasasa mambo yangu mengi hayaendi, wale waliokuwa wananitegemea ikiwemo mama mkwe wangu siwatumii tena vijisenti. Sasa toka wiki iliyopita mama mkwe yupo hapa nyumbani akicheki menyu yenyewe inalegalega dagaa mchana kwa usiku.

Amenipa ultimatum, nimuache mwanae kwani ninamtesa mwanae na yeye kiujumla, amenambia kufikia mwisho wa mwezi huu niwe nimetoa talaka la sivyo ataenda kwa mganga kuniloga nife ili mwanae aolewe na wenye pesa. Wadau nifanyeje maana mama mkwe ndio huyo katoa kauli yake na kesho yeye anaondoka kurudi kijijini Buhigwe mkoani Kigoma.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duh!!
 
Buhigwe - Kigoma.
Hapo ndipo panaposababisha nikupe ushauri huu.

Toa talaka haraka la sivyo utakufa kweli
 
Japokuwa hii ni stori tuu, lakini tatizo, tunavyoenda kuchumbia na kuoa unajionyesha unajiweza kimali na kiuwezo , nguo unaweza azima, yani asilimia nyingi vitu in vya kuazima, sio vyako, yani mama mkwe anajigamba hadi kwa mashoga wenzake kuhusu mkwewe, kumbeee, vyote ni vya washkaji, nenda kaoe kama ulivyo
 
Back
Top Bottom