Unatumia visacard ya benki gani.Kwanini usitafute tu line ya Vodacom; ukatumia MPESA mastercard.Ni rahisi sanaWakuu salama?
Nimejaribu kufanya malipo kwa Netflix kupitia Visacard lakini haikubali. Nilisajili kupitia App yao ila ukifika pale kuweka namba za kadi ya benki inakatalia hapo.
Nahitaji kufaidi Netflix, msaada tafadhali
Nina visa card za CRDB na FNB ila zimegoma. Line ya voda ninayo ila mchakato huo wa mastercard ndio sijaufahamu vizuri
asante nimewezaUnatumia visacard ya benki gani.Kwanini usitafute tu line ya Vodacom; ukatumia MPESA mastercard.Ni rahisi sana