Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,708
- 994
Habari waku! kuna jamaa yangu katika kulipia hela ya ku apply yeye kalipa Maxmalipo ambayo wana huduma ya TCU pekee huduma ya nacte hawana. na yeye kapitia diploma, je kwa hapo hii risiti inawezekana kuibadirisha ? je ni NACTE au TCU? .Ahsanteh