kwanza iunganishe page yako na Google analytics, tracking code, site yako ikiwa na traffic kubwa Google watakutafuta wenyewe kwa ajili ya ads
kuhusu bank gani wanasupport, Barclay's ni rahisi zaidi, kwa crdb pia inawezekana ila kuna vi procedure vingi vingi vya kufuata so huwa wanachelewa, kwa maelezo zaidi unaweza ukawaona, watakuelekeza.