Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,510
Natafuta manyoya ya fisi nikachome nyumbani kwa bosi wangu.Mwingine ni ule wa kuchomewa manyoya ya fisi dirishani... Utalala usingizi wa pono... Wanaweza kuchukua mpaka nguo ulizovaa