Msema yote
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 448
- 301
Wakuu poleni na majukumu. Kwa wenye ufahamu juu ya familia za kinyiramba naombeni msaada kuhusu uoaji katika familia hizo. Kwani ni mahusiano ni binti wa kabila hilo hivo naahitaji msaada juu ya hili
Mimi ni kabila tofauti na hilo, pia si mwenyeji wa mkoa wa singida
katika makabila ya tanzania wanyiramba ndilo kabila pekee ambalo mtoto ni mali ya mwanamke.
mfano ukisikia mtoto anaitwa mkumbo ujue si ukoo bali inategemea kuzaliwa kwake kwa hiyo utakuta kinamkumbo ambao ni mtoto wa dada,kaka na dada mwingine.
kwa hiyo ndg kama unataka kuoa huko ujue haya.
Ha ha ha ha ha haki ya baba yangu lol
Umejitekenya au?
vibaya mno, au nikutekenye na ww uona utmau wake
kazi kweli kweli....
Ha ha ha ha ha haki ya baba yangu lol
Ndio mheshimiwa bwana ZAID YAAKUB suala la uraia wa nchi mbili ni muhimu sana kwa mataifa yetu machanga ya kiafrika,kuna mengi sana nchiinawezakufaidika kama zoezi hili litafanyika.Tunawezajifunza sana kutoka INdia na Pakistani ambao wenzetu walianza zamani sana mambo haya na kuna programs nyingi sana zilijitokjeza ambazo zimeleta faida kubwa sana katika nchi hizo.General ZIA ULhAQ alifaulu sana kwa kutrumia pkis wanaokaa nje ya nchi ambao walileta mafanikio makubwa sana ya kiuchumi nchi humo,nasisi kama kweli serikali italitupia macho suala hilo basi tunawezakufaidika sana .angalia suala la wataalam wa nje ,wemgine hawana elimu kama resumes zao zinavyojieleza na wapo hapa kutunyang'anya pesa zetu ambazo sisi wenyewe tunaweza tukawa na uwezo kama wao au zaidi ya o kma wananchi
peace!!!
katika makabila ya tanzania wanyiramba ndilo kabila pekee ambalo mtoto ni mali ya mwanamke.
mfano ukisikia mtoto anaitwa mkumbo ujue si ukoo bali inategemea kuzaliwa kwake kwa hiyo utakuta kinamkumbo ambao ni mtoto wa dada,kaka na dada mwingine.
kwa hiyo ndg kama unataka kuoa huko ujue haya.
iko hv watoto huwa ni mali ya uko wa baba na mwanamke anapoolewa anakuwa ni mali ya kabila au ukoo hucka(kama mahari imelipwa)incase myiramba ndo anaoa watoto ni mali yake na jina la ukoo litatoka kwenye upande wa mama.umenisomaa
.kama bado ulza
Jiandae kwa: Jembe bila mpini (hii ni kwa kaka inategemea wako wangapi), vitenge vya shangazi(inategemea mashangazi wako wangapi), makoti ya wajomba (inategemea wako wangapi), sefuria kubwa (lenye ujazo kuanzia ndoo moja na nusu), blanket la bibi, ng'ombe si chini ya tano (can be converted into money 100,000/cow), mbuzi @30,000 .
Nivizuri kuapata details nyignine kutoka kwa mke wako mtarajiwa!!!
Its not expensive, acha longo longo nenda kalipe mahari!!!!!
best wishes