msaada:mafaili yangu kwenye pc yamekuwa encrypted na virus

msaada:mafaili yangu kwenye pc yamekuwa encrypted na virus

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
wakuu habari za muda ,nilikuwa natumia pc yangu muda si mrefu then nikaizima baadae kidogo nikaiwasha tena,nilivyoiwasha naona baadhi ya mafaili yangu mengi sana hayafunguki halafu wananiwekea ujumbe huo chini hapo katika kila folder waliloniharibia vitu vyangu.je nifanye nini wakuu maana kwa huo ujumbe hapo naona kama wanataka niwalipe na mimi sina system hizo za kulipia mitandaoni.kama kuna alternative nyengine naombeni munijuze wakuu mafaili yangu ni ya muhimu sana
" Lgkhoo xdZkEnLSn XPdEeMP wKleZKw
Pvnwyj

Your ID: 1VadToV1M5r2mUMf
Your extension: IA3K

() Your files are encrypted!

(NksFvhcG) Download and install Tor Browser:

Download Tor

() And follow this link via Tor Browser:

http://royal666k6zyxnai.onion/

()
()
()

() Or use this alternative in any exceptional cases:"
 
Yaani hapo umeshapoteza mkuu tafuta data zingine ikiwezekana weka window upya na antivirus mpya hii hutokea Sana tu but sikuhizi unakuwa popular hawa ni hacker wanatumia hizo virus ili kujipatia pesa Yaani ukiwalipa hawakupi au sijakupata keys za kufungua na kuondoa extension hiyo usije thubutu kufuata hayo maelekezo yao kuna jamaa wamechapwa cash na hakuna keys walizotumiwa so mi naeashauri watu wanopenda kutumia PC bila special antivirus wakiamini window defender na hii hutokea Sana kwenye window 8,8.1 na10 kwanini nakushauri hivi wale ni Trojan wanaitwa ransomware kama hacker wenyewe wanatumia browser kuingia kwenye pc pale unapokuwa online na hauna security Nzuri labda pia unsdownload torrents na cracked software hata ukifanya data recovery yanarudi vilevile huzipati data Kama haumini angalia data zilizosalia ni zile ambazo ni zipped tu au rar file Ndo nzima zingine zimecorrupt kilabaada ya muda mfupi wanaenea kila folder ndani ya PC halafu wanakupa hayo maelekezo PDF na document zingine Hazifunguki tena sizani kama utapata solution kwa tatizo hili

Note:window defender inaitaji update kila Mara Ndo tatizo na mnapoinstall window mnacancel automatically update hii ni chanzo cha bad security na kuvamiwavamiwa
Kwaheri ni hayo tu
 
ebu angalia extension ya kila file lako lilikuwa encrypted maana huyu mdudu mostly anabadirisha extension fanya kufuta na kurudisha extension yako ya file husika halfu ebu mtrack kupitia task manager kwenye processes zinazorun kisha trace root source alikujificha end process yake na umfute
 
Hapo piga window hao malware hata uweke ant virus gan hawatoki wanatabia tabia ya ki attack hata ant virus yenyewe kuNa tofauti kati ya virus Na Trojan, spyware etc ant virus ina deal na virus wa kawaida Ila hao Wenger Wana be killed by ant malware Na Hawa ndio walio kuattack wewe wanapatikana mtandaoni unaonekana Ni mtumiaji mkubwa wa internet Kwa uzoefu yangu stage uliyo fikia ngumu kufix Ila ukipiga Windows install antivirus total security ambapo inajumuisha antivirus Na antmalware
 
mkuu hio total security inaweza nisaidia kumtoa system volume maana ananisumbua sana
 
mkuu hio total security inaweza nisaidia kumtoa system volume maana ananisumbua sana
kumtoa ngumu mno maana anazama ndani kabisa kwenye system files za windows , anazalisha mafile na kujaza drive-C kila baada ya mda, jarib kaspersky , japo haitaweza kumuondoa kwa 100%, inabakisha traces baada ya mda wanajirudi

soln pekee ni kushusha window,

usb flash ndio carrier mkubwa wa uyu trojan na smadav ndio dawa,
 
yaani system volume huyu mdudu sijui kachanjiwa kwenye pc yangu nilipiga windo kisa yy ila hakutoka sahivi nataka ni fute kila kitu kwenye pc iwe mpya kabisa ndo nianze weka vitu upya maana kila app nayotaka weka anakula before sijafanya installation
 
yeah na pia anaweza ama kutoka drive moja kwenda nyingine, mfano unawezashusha window mpya / clean kabisa, ila kwa kua infected files zipo drive D, uka move ilo file kutoka drive D kwenda desktop ( desktop tunajua inaifadhiwa kwenye drive C), apo imekula kwako,
 
ngoja nimwee bia za buku kesho atanikoma lazima akimbie pcyangu
 
Smadav anaweza kukusaidia kuokoa files then upge windows chini

But ESET SMART SECURITY ukiipata ni nzuri sana ukiscan anaondoa woote
 
Back
Top Bottom