Mr Mose
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 370
- 528
Wasalaam,
Mimi ni mjasiriamali mdogo nina shughulika na kuuza nguo za kike na za watoto pamoja na urembo, nimekuwa nikitangaza biashara yangu kupitia facebook acc ya kawaida ila naona sasa wateja wakununua hakuna kwasababu kila siku ni mafriends wale wale, nataka nifungue page maalumu ambayo nitakua nalipia ili niweze kutangaza na kuwafikia watu/wateja wengi zaidi.
Natanguliza shukurani.