Msaada madoctors wa JF

Daffi Jr

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
3,825
906
Madaktari nawaombeni msaada wa ushauri na tiba katika hili,nimeotwa na maupele madogo mgongoni yakifuata uti wa mgongo,
yanawasha,nikikuna yanazidi kusogea!!!!!!!nimepatwa na wasiwasi sana kwa sababu nilidhani labda hali tu ya joto!!!but kwa hali inavyoendelea wasiwasi unazidi kunipanda!!!najua JF wapo madaktari wa kutosha wenye kunipa sababu yenye kusababisha hili, ushauri maridhawa na tiba ya kutatua hili tatizo kabla ya kuchukua hatua zaidi!!!
Hope mtanisaidia!!!
Mungu awabariki.
 
Mi sio daktri ila naona kama ni jasho... ni mtiririko wa jasho yapo kwenye mfereji wa uti wa mgongo... Jaribu kuoga na detol kwanza (for few days). Kama utaweza tafuta ile ya kuweka ndani ya maji ya kuoga. Kama unaoga kwa kutumia shower basi tumia sabuni tu.
 
Nashukuru Mwali,ila najitahidi sana kuoga japo sikutumia sabuni ya detol,but medicated soap kama family naitumia,zikakauka kidogo but zimeta zingine kwa pembeni mwa uti wa mgongo!!!Thanx,nijaribu kutumia detol
 
Nenda ukafanyiwe uchunguzi na vipimo [ hasa RPR /VDRL ]kwenye kituo cha tiba. Hapo utapata tiba sahihi kulingana na tatizo:

Yaweza kuwa vipele vya kawaida,vipele vinavyotokana na reaction,vipele vya fangasi au hata kaswende [Mungu apishie mbali].
Kila moja hapo inatiba tofauti.

>> Kuhusu alie comment kwamba waweza kuwa mkanda wa jeshi... Mmmmh ! Hapana,kwa maumivu ya mkanda wa jeshi,siku mbili tu toka uanze ungeenda mwenyewe hospital kabla hujabonyeza hizo keypad. Usicheze na Herpes Zooster Mkuu!

>> Kuhusu medicated soap [+detol]. Hizi zinakinga tu magonjwa ya ngozi. Mind u ugonjwa ukiishaingia uka settle haziwezi kuuondoa.
 
I'l take the step mkuu!mkanda wa jeshi huwa uko vp na unasababishwa na nini?
Mkanda wa jeshi unawasha sana nasikia,yanaanza kama mapele then yanakuwa kama malengelenge ya kuungua moto,MKANDA WA Jeshi ni indicator ya kuwa mhusika Ana VIH.
 
Nenda ukafanyiwe uchunguzi na vipimo [ hasa RPR /VDRL ]kwenye kituo cha tiba. Hapo utapata tiba sahihi kulingana na tatizo:

Yaweza kuwa vipele vya kawaida,vipele vinavyotokana na reaction,vipele vya fangasi au hata kaswende [Mungu apishie mbali].
Kila moja hapo inatiba tofauti.

>> Kuhusu alie comment kwamba waweza kuwa mkanda wa jeshi... Mmmmh ! Hapana,kwa maumivu ya mkanda wa jeshi,siku mbili tu toka uanze ungeenda mwenyewe hospital kabla hujabonyeza hizo keypad. Usicheze na Herpes Zooster Mkuu!

>> Kuhusu medicated soap [+detol]. Hizi zinakinga tu magonjwa ya ngozi. Mind u ugonjwa ukiishaingia uka settle haziwezi kuuondoa.

Nashukuru sana kwa ushauri murua,naelekea hosiptal hapa nilipo!be blessed.
 
Mkanda wa jeshi unawasha sana nasikia,yanaanza kama mapele then yanakuwa kama malengelenge ya kuungua moto,MKANDA WA Jeshi ni indicator ya kuwa mhusika Ana VIH.

Hivi vipele haviwashi sana kivile,vilipoanzia vimekauka,ila vinaendelea kusambaa,ie vikikauka vingine vinaota pembeni pa zamani!thanxs!ngonja nikacheck afya
 
Hivi vipele haviwashi sana kivile,vilipoanzia vimekauka,ila vinaendelea kusambaa,ie vikikauka vingine vinaota pembeni pa zamani!thanxs!ngonja nikacheck afya

... Daffi bhana!

This z not Herpes zooster,[mkanda wa jeshi]!

LABDA KAMA UMEPATWA NA YAFUATAYO!

1. Hivyo vipele vnauma hadi unakosa usingizi... Kwenye mkanda wa jeshi hata valium haioni ndani bro! Labda utumie CPZ [ lagactil ] high dose.

2. Mkanda wa jeshi ni Unilateral,yaani unashambulia upande mmoja tu wa mwili kwa kufuata nerves.
Hauvuki mgongo pale katikati,wala tumbo pale kitovuni kuhamia upande wa pili. Kama vya kwako vimevuka au viko katikati hiyo sio mkanda wa mjeda . Lakini kama vkiwa upande mmoja tu
na vinauma kama umewekewa moto... hiyo imekula kwako[ sorry,just a joke].

3. Point to not 60% ya wanaougua mkanda wa jeshi ni HIV +..... So sio kila mtu mwenye mkanda ana HIV [ 40% waweza kuwa sero neg ].

4. TAKE CARE MKUU,KAPIME [SIO KWA KU SUSPECT UNA HIYO KITU]BALI ILI UJUE KESHO UTAIANZA NA MIPANGO IPI !
 
Mkubwa!!kimsingi nashukuru kwa ushauri murua!!!nimekimbia fasta hosiptal kuhofia kuwa ikawa mkanda wa jeshi!!japo kwa dalili za mkada wa jeshi ulivyo na ulivyoelezea,siyo kabisa!!!but i thanks God nimechukua vipimo vyote na sina tatizo lolote,zaidi ya kuambiwa it is an allage!!!!
... Daffi bhana!

This z not Herpes zooster,[mkanda wa jeshi]!

LABDA KAMA UMEPATWA NA YA FUATAYO!

1. Hivyo vipele vnauma hadi unakosa usingizi... Kwenye mkanda wa jeshi hata valium haioni ndani bro! Labda utumie CPZ [ lagactil ] high dose.

2. Mkanda wa jeshi ni Unilateral,yaani unashambulia upande mmoja tu wa mwili kwa kufuata nerves.
Hauvuki mgongo pale katikati,wala tumbo pale kitovuni kuhamia upande wa pili. Kama vya kwako vimevuka au viko katikati hiyo sio mkanda wa mjeda . Lakini kama vkiwa upande mmoja tu
na vinauma kama umewekewa moto... hiyo imekula kwako[ sorry,just a joke].

3. Point to not 60% ya wanaougua mkanda wa jeshi ni HIV +..... So sio kila mtu mwenye mkanda ana HIV [ 40% waweza kuwa sero neg ].

4. TAKE CARE MKUU,KAPIME [SIO KWA KU SUSPECT UNA HIYO KITU]BALI ILI UJUE KESHO UTAIANZA NA MIPANGO IPI !
 
mkubwa!!kimsingi nashukuru kwa ushauri murua!!!nimekimbia fasta hosiptal kuhofia kuwa ikawa mkanda wa jeshi!!japo kwa dalili za mkada wa jeshi ulivyo na ulivyoelezea,siyo kabisa!!!but i thanks god nimechukua vipimo vyote na sina tatizo lolote,zaidi ya kuambiwa it is an allage!!!!

....Thanx Lord !!!
 
Naombeni kujua dawa ya mkanda Wa jeshi na unapona,na ili isitokee tena unafanyaje vitu gani vya kula kuongeza kinga mwilini
 
Mkanda wa jeshi(herpes zooster) huweza mtokea mtu yoyote yule esp kama uliwahi kupata tetekuwanga ukiwa mdogo(chicken pox) hugonjwa huo hutokea sana hasa pale kinga za mwili zinaposhuka kwa magonjwa kama vile hiv/aids na kwa wazee...

Kwa wagonjwa wa hiv/aids sana hutokea upande mmoja wa mwili hasa kuanzia nyuma nya mgongo mpaka kwenye kifua kwa mbele.

Dalili zake ni vipele vidogo vyenye maji maji au wakat mwngne hata usaha kwa ndani huwa na maumivu makali sana kama shoti ya umeme/burning and shooting pain

Matibabu yake ni antibiotic/anti-pain/lotion ya kupaka kama vile calamine/anti-viral drugs Acyclovir na kama kinga ziko chini sana(CD4) ni kuanza Arvs sababu ni kati ya magonjwa nyemelezi hata stage 2 ya Hiv/aids

Na inatabia ya kubaki mwilini/post herpetic neuralgia inaweza pona kwa nje mgonjwa akawa bado anahisi maumivu kwa ndani.

Plse sio kila mkanda wa Jeshi ni dalili za Hiv/aids kuondoa hofu ni vizuri kupima Afya zetu.

Asanteni
 
Back
Top Bottom