msaada madakitari jamani nisaidieni mwenzenu,

BLISS

Member
Mar 31, 2011
54
12
naombeni mnipe ushauri kuhusu kukosa choo kwa mtoto mdogo aliye na wiki 2, na hanywi maziwa ya kopo, ananyonya maziwa ya mama yake tu, tatizo ni nini? anapata choo mara moja tu kwa siku, na siku nyingine hapati, kitu ambacho si kawaida kwa mtoto mdogo, msaada madakitari wote,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom