Umemaliza yote nyongeza tu ni kuwa amerudishwa nyuma katika harakati za kushirikiana kusaka riziki""maana ya chakula katika ndoto ni ushirikianoJapokuwa hujasema hali yako ya maisha kwa sasa ikoje...I mean unasoma, unafanya kazi, biashara na kipato chako kipoje, kuota upo shule wakati ulishamaliza shule siku nyingi maana yake ni "kurudishwa nyuma" kuwa kwenye foleni ambayo haufiki maana yake ni "kucheleweshwa" ukichukua maana ya kwanza (kurudishwa nyuma + Kucheleweshwa) utagundua kuwa kuna nguvu zinapambana na wewe ktk kile unachokifanya sasa, chukua taadhari na mwombe sana Mungu akuvushe!! kitu chochote kinachotokea kwa mtu huanza ktk ulimwengu wa "roho" then matokeo yake huonekana ktk ulimwengu wa mwili
Bado sijajua haswa, tofauti ya vitu hivi viwili, nadhani nitajifunza zaidi maana nilidhani awali nightmare ni ndoto za kuogofya labda.Hii sio ndoto...hii ni nightmare.
Unatakiwa ujue kuna hatua kadhaa mpaka kuota ndoto.
1. Dream 2. Vision 3. NightMare
Vitu hivi vyote hutokea wakati mtu akiwa amelala usingizi au amelala fofo.
Physically miili yetu huwa inaota moto, lakini spiritually roho zetu huwa zinaota upepo au kupunga upepo.
Ndo maana wazee wetu walikua wanapenda sana kutuwashia moto katikati ya uwanja...tuuote kabla ya kwenda kulala ili tuwe na ndoto njema. Na wengine walidiriki kuweka dawa kwenye moto ili tuepukane na nightmares au tuzipate nightmares kwà maana tujikute au tujione tunacheza ngoma , kimbizwa, etc
Kiufupi...hiyo iliyoiota sio ndoto....ni nightmare
Sawa, naweka sawia. Kuhusu hali yangu ya maisha kwa sasa, naweza kusema, mali/amali pekee niliyonayo ni Uhai, kiuchumi ambayo ni funguo ya hali nyingine ni Mbaya, Yes, hali ni Mbaya ukifananisha na miaka miwili iliyopita. Ambayo kimsingi nilikuwa kazini, kwa sasa sina kazi, yaani naingia huku na kule tu ili mradi nipate rizki.Japokuwa hujasema hali yako ya maisha kwa sasa ikoje...I mean unasoma, unafanya kazi, biashara na kipato chako kipoje, kuota upo shule wakati ulishamaliza shule siku nyingi maana yake ni "kurudishwa nyuma" kuwa kwenye foleni ambayo haufiki maana yake ni "kucheleweshwa" ukichukua maana ya kwanza (kurudishwa nyuma + Kucheleweshwa) utagundua kuwa kuna nguvu zinapambana na wewe ktk kile unachokifanya sasa, chukua taadhari na mwombe sana Mungu akuvushe!! kitu chochote kinachotokea kwa mtu huanza ktk ulimwengu wa "roho" then matokeo yake huonekana ktk ulimwengu wa mwili
Mimi nimeota kuna ndugu yetu mmoja ananikabidhi maburungutu ya Pesa yamejaa kwenye briefcase, sasa sijajua ndoto itatimia au itayeyuka Ila nmeota leo saa 9 usikuSawa, naweka sawia. Kuhusu hali yangu ya maisha kwa sasa, naweza kusema, mali/amali pekee niliyonayo ni Uhai, kiuchumi ambayo ni funguo ya hali nyingine ni Mbaya, Yes, hali ni Mbaya ukifananisha na miaka miwili iliyopita. Ambayo kimsingi nilikuwa kazini, kwa sasa sina kazi, yaani naingia huku na kule tu ili mradi nipate rizki.
Kuhusu nguvu inayonirudisha nyuma 'Nahisi' kuna background kwa watu wangu wa karibu ambao si nzuri, labda ufafanuzi wako, na hisia zangu zinaweza kuwa jibu kamili. Hili, nalifanyia kazi.
Thread imeishia hapa jibu limepatikanaUmelala na njaa.
Nightmare ni mizimu, mambo yanayokujulisha matukio mbalimbali ya kimaisha.Chakula ni riziki, kipato na mema yeyote.foleni ni mipango matarajio zamu na mfumo wa kutafuta.Kuongezeka kwa foleni ni hali ya kuharibiwa mipango au riziki pindi tu unapoikaribia.Bado sijajua haswa, tofauti ya vitu hivi viwili, nadhani nitajifunza zaidi maana nilidhani awali nightmare ni ndoto za kuogofya labda.
[emoji848][emoji848]Nightmare ni mizimu, mambo yanayokujulisha matukio mbalimbali ya kimaisha.Chakula ni riziki, kipato na mema yeyote.foleni ni mipango matarajio zamu na mfumo wa kutafuta.Kuongezeka kwa foleni ni hali ya kuharibiwa mipango au riziki pindi tu unapoikaribia.
Kisha ukaoneshwa mtu anaeharibu na kuingilia kila unapokaribia kuipata na si kwako pekee huvuruga na kwa wengine pia.Yeye na wenzie kama wapo wanakufuatilia sana na wanahakikisha ukipata tu wanatibua.Wakati mwingine uanafunzi ni mafunzo na maisha.
[emoji2][emoji2][emoji119] aiseeNa mimi nimeota ndoto mji flani mimi na mke wangu lakini baadae simwonj mara ghafla upepo ufanano na tetemeko lakini unazoa mchanga na kama lile la jangwani unafunika watu na tunakimbia wengine nyumba zinaanguka wakiwa ndani wanashika nguzo zake lakini wanafunikwa na mchanga na mimi nikawa nakwepa mpaka nikajikuta niko mji mwingine nikiwa na mama na mwanamke flani akatupokea nikasema huku kuko salama yule mama akasema hapana hali hii utokea alipo maliza tu kusema vile upepo ukaanza kuvuma na tulikuwa kwake ambapo pamezungukwa na miti mirefu na mawe makubwa yaliyobebana nyumba zipo katikati. Tukiwa nje tunapiga story hizo ghafla mti ulikatika na kuja usawa wangu nikapangua mara jiwe kubwa likajadiliwa usawa wangu kunisaga lakini nikashanga limenikosa na kupita pembeni tkaoaombia ndani ila mimi nikibaki nje mvua ikaanza kunyesha nikawa nimejikinga chini ya paa la nyumba baadae niliona naingia jikoni na kuwaiuta mama na yule mama wanapika basi nikakaa ndoto ikaisha