Msaada Maalumu Jinsi ya Kuweka/install Internet Download (IDM)

Msaada Maalumu Jinsi ya Kuweka/install Internet Download (IDM)

Mkuu mie nilikuwa naitumia kitambo lakini siku hizi haionekani nikiingia u-tube lkn ipo installed inaonekana ktk mafaili kama ya PDF peke yake. Nifanyaje?
Jaribu Free Internet Dowloader na yenyewe ni Nzuri inamuonekano huu
0f230e12da9a39a2fe0ae42f450b5b98.jpg
 
Pia Free Internet Download Manager FIDM ni nzuri Ipo na Muonekano Huu!
c9f6fc3a2e22fb8305f50da2c8310eb6.jpg
 
Back
Top Bottom