Auncle Ajay
Member
- Jan 26, 2014
- 41
- 13
Wadau naombeni msaada code za mpesa nilizotumiwa zinaanza na 3GA3..... hazikubali kufungulia account. Nifanyeje wakuu?
Sasa umefanyage ww mkuu coz ata mm namfanyia bwana mdg wng... Imenigomea kabisa
Yah, nao pia wanaingilia hapo hapo isipokuwa tuu wao wanaomba courses zunazowausu.Hivi wale waliomaliza form six nao wanaingia pale pale NACTE CAS? Msaada jamani
nilikua namsaidia dogo, ikawa inakataa....we jaribu tu mara kwa mara itakubali, hakikisha hukosei nambaWadau naombeni msaada code za mpesa nilizotumiwa zinaanza na 3GA3..... hazikubali kufungulia account. Nifanyeje wakuu?
Inategemeana na kozi. Kuna wa 20,000 na 30,000Application za Nacte zinalipiwa shilingi ngap..??
Wadau naombeni msaada code za mpesa nilizotumiwa zinaanza na 3GA3..... hazikubali kufungulia account. Nifanyeje wakuu?
mimi inaniandikia kuwa niangalie kwenye inbox ya email au nitatumiwa SMS kutoka nacte ambayo itakuwa na username pamoja na password lakini nimeangalia kote hawajanitumia username wala passwordSubirini baada ya muda kidogo wataiweka kwenye system ndo itakubali mi jana ilizingua masaa 7 baadae ikakubaliwa hiyo inayoanza na namba