The only app iliokua inaweza fanya hivyo ni nokia reader na microsoft wameidiscontinue, sometime hawa microsoft kama hawana akili vizuri.
Foxit wametoa app yao kwa windows phone haina hiyo feature ya ku adjust maandishi kwa screen size (reflow) ila i hope next version wataieka maana hawa jamaa wapo vizuri sana. App yao ya android inayo reflow
ymollel jamaa anazungumzia feature hii hapa inayoonekana kwenye picha
Kuweza kusoma maandishi ya pdf bila kuscroll left na right