TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
Jergens ipo poa sana.... Au atumie ultimate organics shea and Cocoa butterAveeno, Jergens, au Dove zinaweza kukufaa.
Jergens ipo poa sana.... Au atumie ultimate organics shea and Cocoa butterAveeno, Jergens, au Dove zinaweza kukufaa.
Njoo inboxKama heading inavyojieleza wapendwa nahitaji ushauri wa lotion nzuri ya kupaka. Ambayo haina cream.
Nahitaji kuwa soft zaidi Ngozi yang sio ya mafuta na wala sio kavu haina chunusi kwa hiyo ni lotion gani nzuri itafaa Ngozi yang asanteni