ni PMHabari wakuu!
Nina mpango wa kutembelea mji wa watu wasiojulikana hapo kesho.
Kwa walioko huko au kwa mwenye kujua Lodge nzuri yenye bei nafuu kwa siku kuanzia 20-30.
Naomba anijuze jina, mahali/mtaa iliyopo hiyo Lodge
Ahsanteni!!
Wakuu nashukuru sana.
Tayari nimeshapata accomodation ili kufanikisha hii safari yangu.
Ahsanteni sana, Mungu awabariki.
Moderators naomba muufunge huu uzi.