Umepata kwa ndugu au UDOM? Maana mapendekezo ya hapa no kama hukuyaonaWakuu nashukuru sana.
Tayari nimeshapata accomodation ili kufanikisha hii safari yangu.
Ahsanteni sana, Mungu awabariki.
Hebu weka gharama ya hivyo vitu vingineNenda Delux maeneo ya area A kuna kila kitu vyumba vizuri, chakula kizuri na vingine kama utataka utapata hapohapo