Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 268
naona unataka kuwahi chumba mapeeema hadi kesho asubuhi tena mda kama huu hela iende kihalali mkuu...[emoji38]
ocenic view
kweli aiseeHahahahaaa mkuu si unajua tena mambo ya picnic.? Siyo kwa leo hii, nahitaji kwenda kesho. So sitaki kuwa mgeni.
Ina kiyoyozi na kitanda kigumu isiyochezacheza?Barcelona lodge ipo Mangesani Mange Town. Mita kadhaa kutoka stand kuu.
Ni njema sana. Fika ujionee tofauti.Ina kiyoyozi na kitanda kigumu isiyochezacheza?