jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,016
Naelekea safari ya kikazi Tanga mjini. Naomba mwenye kufahamu lodge/ geust nzuri karibu na mjini anisaidie.
Iwe na essentials kama usafi wa kuridhisha, AC, TV na parking. Budget yangu ni Tsh elfu 20 mpaka 30.
Msaada wenu tafadhali.
Iwe na essentials kama usafi wa kuridhisha, AC, TV na parking. Budget yangu ni Tsh elfu 20 mpaka 30.
Msaada wenu tafadhali.