Msaada: List ya modem models kwa mitandao mbalimbali!

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Habari wakuu, ok kuna research flani hivi nafanya (ni kulingana na mishemishe zangu za kila siku ninazofanya) sasa imefika wakati inanibidi nijue mitandao yetu ya simu wanatumia modem (usb dongle) za aina gani...yaani mfano mpaka sasa najua zufuatazo:

Vodacom : wana Vodafone K3565
Vodafone K3765
K3765-Z

zantel:

EC122


hizi ni chache nilizo na uhakika nazo...so pliiz kwa wanaojua naomba nifahamishe aina tu (model) na ni mtandao gani inatumia hiyo modem...pliiz wakuu itanisaidia sana kwenye michakato yangu ya kila siku!!
thanks!
 
Back
Top Bottom