muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Jan 29, 2020 #1 Habari! Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia link za Live TV cha channel za hapa Tanzania hasa: - TBC - ITV - Wasafi - Clouds - Star TV na channel za kiswahili zilizomo kwenye king'amuzi za Azam.
Habari! Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia link za Live TV cha channel za hapa Tanzania hasa: - TBC - ITV - Wasafi - Clouds - Star TV na channel za kiswahili zilizomo kwenye king'amuzi za Azam.
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,031 Jan 29, 2020 #2 Itoe mkuu watastuka tukaendelea kukosa utam Emmanuel S Jonathan said: wasafi iyo http://ms-azure-video.gslb.startimestv.com/live/Wasafi_968_500_320x240_196856/playlist.m3u8 Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Itoe mkuu watastuka tukaendelea kukosa utam Emmanuel S Jonathan said: wasafi iyo http://ms-azure-video.gslb.startimestv.com/live/Wasafi_968_500_320x240_196856/playlist.m3u8 Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Jan 30, 2020 Thread starter #3 Emmanuel S Jonathan asante sana
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Jan 30, 2020 Thread starter #4 kcamp said: Itoe mkuu watastuka tukaendelea kukosa utam Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... mbona unakuja mbinafi sana ww
kcamp said: Itoe mkuu watastuka tukaendelea kukosa utam Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... mbona unakuja mbinafi sana ww
Galbi JF-Expert Member Joined Jul 15, 2017 Posts 406 Reaction score 618 Jan 30, 2020 #5 muvika online said: Emmanuel S Jonathan asante sana sasa unaweza kuifuta Click to expand... acheni uchoyo 😀 😀 😀 tushasepa na link
muvika online said: Emmanuel S Jonathan asante sana sasa unaweza kuifuta Click to expand... acheni uchoyo 😀 😀 😀 tushasepa na link
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Jan 30, 2020 #6 Kwanini unamuita mwenzako mbinafsi?👇👇 muvika online said: mbona unakuja mbinafi sana ww Click to expand... mbona wewe umefanya kitu kile kile alichokifanya mwenzako👇👇 muvika online said: Emmanuel S Jonathan asante sana sasa unaweza kuifuta Click to expand... Kwanini umwambie mwenzako aondoe hiyo link? au kwasababu umeomba wewe unahisi wengine hawa ihitaji?
Kwanini unamuita mwenzako mbinafsi?👇👇 muvika online said: mbona unakuja mbinafi sana ww Click to expand... mbona wewe umefanya kitu kile kile alichokifanya mwenzako👇👇 muvika online said: Emmanuel S Jonathan asante sana sasa unaweza kuifuta Click to expand... Kwanini umwambie mwenzako aondoe hiyo link? au kwasababu umeomba wewe unahisi wengine hawa ihitaji?
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Jan 30, 2020 Thread starter #7 CONTROLA said: Kwanini unamuita mwenzako mbinafsi?👇👇 mbona wewe umefanya kitu kile kile alichokifanya mwenzako👇👇 Kwanini umwambie mwenzako aondoe hiyo link? au kwasababu umeomba wewe unahisi wengine hawa ihitaji? Click to expand... Mimi ndio nimeanzisha threads nikiwa na maana nahitaji msaada mimi mwenyewe ila kama kuna mtu anahitaji anafungua tu threads kwani hakuna gharama
CONTROLA said: Kwanini unamuita mwenzako mbinafsi?👇👇 mbona wewe umefanya kitu kile kile alichokifanya mwenzako👇👇 Kwanini umwambie mwenzako aondoe hiyo link? au kwasababu umeomba wewe unahisi wengine hawa ihitaji? Click to expand... Mimi ndio nimeanzisha threads nikiwa na maana nahitaji msaada mimi mwenyewe ila kama kuna mtu anahitaji anafungua tu threads kwani hakuna gharama
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,603 Reaction score 60,860 Jan 30, 2020 #8 CONTROLA said: Kwanini unamuita mwenzako mbinafsi?👇👇 mbona wewe umefanya kitu kile kile alichokifanya mwenzako👇👇 Kwanini umwambie mwenzako aondoe hiyo link? au kwasababu umeomba wewe unahisi wengine hawa ihitaji? Click to expand... 🤣 🤣 🤣 🤣
CONTROLA said: Kwanini unamuita mwenzako mbinafsi?👇👇 mbona wewe umefanya kitu kile kile alichokifanya mwenzako👇👇 Kwanini umwambie mwenzako aondoe hiyo link? au kwasababu umeomba wewe unahisi wengine hawa ihitaji? Click to expand... 🤣 🤣 🤣 🤣
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,031 Jan 30, 2020 #9 muvika online said: mbona unakuja mbinafi sana ww Click to expand... Sio ubinafsi..jamaa alitakiwa aku pm link..sio kuweka hapa...sasa kati ya kutumiwa pm na kuanika hapa mambo tuyakose ipi bora? Sent using Jamii Forums mobile app
muvika online said: mbona unakuja mbinafi sana ww Click to expand... Sio ubinafsi..jamaa alitakiwa aku pm link..sio kuweka hapa...sasa kati ya kutumiwa pm na kuanika hapa mambo tuyakose ipi bora? Sent using Jamii Forums mobile app
Galbi JF-Expert Member Joined Jul 15, 2017 Posts 406 Reaction score 618 Jan 30, 2020 #10 msiwe na wasiwasi wengine hata matumizi yake hatujui jamani
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Jan 30, 2020 Thread starter #11 kcamp said: Sio ubinafsi..jamaa alitakiwa aku pm link..sio kuweka hapa...sasa kati ya kutumiwa pm na kuanika hapa mambo tuyakose ipi bora? Click to expand... sawa kama na wewe unayo nyingine nipe basi
kcamp said: Sio ubinafsi..jamaa alitakiwa aku pm link..sio kuweka hapa...sasa kati ya kutumiwa pm na kuanika hapa mambo tuyakose ipi bora? Click to expand... sawa kama na wewe unayo nyingine nipe basi
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 8,596 Reaction score 19,018 Jan 30, 2020 #12 Balaaa Sent using Jamii Forums mobile app
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Jan 31, 2020 #13 muvika online said: Mimi ndio nimeanzisha threads nikiwa na maana nahitaji msaada mimi mwenyewe ila kama kuna mtu anahitaji anafungua tu threads kwani hakuna gharama Click to expand... Na hatukupi zingine
muvika online said: Mimi ndio nimeanzisha threads nikiwa na maana nahitaji msaada mimi mwenyewe ila kama kuna mtu anahitaji anafungua tu threads kwani hakuna gharama Click to expand... Na hatukupi zingine
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Jan 31, 2020 Thread starter #14 ROBERTO 20 said: Na hatukupi zingine Click to expand... Sema Huna maana Sijakwambia unanipa bure ndugu, nimesema kwa atakae nipa nyingi hata 5 namlipa
ROBERTO 20 said: Na hatukupi zingine Click to expand... Sema Huna maana Sijakwambia unanipa bure ndugu, nimesema kwa atakae nipa nyingi hata 5 namlipa
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Jan 31, 2020 #15 muvika online said: Sema Huna maana Sijakwambia unanipa bure ndugu, nimesema kwa atakae nipa nyingi hata 5 namlipa Click to expand... Zipo hata humu zishawekwa nyingi.... Wala sihitaji hata hela yako
muvika online said: Sema Huna maana Sijakwambia unanipa bure ndugu, nimesema kwa atakae nipa nyingi hata 5 namlipa Click to expand... Zipo hata humu zishawekwa nyingi.... Wala sihitaji hata hela yako
Emmanuel S Jonathan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 382 Reaction score 281 Jan 31, 2020 #16 kcamp said: Itoe mkuu watastuka tukaendelea kukosa utam Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... nimeitoa mkuu
kcamp said: Itoe mkuu watastuka tukaendelea kukosa utam Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... nimeitoa mkuu
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Jan 31, 2020 Thread starter #17 Daniel Agger said: kwangu haisomi mkuu, inaniandikia file reading failed Click to expand... inaoneka hii sio LIVe
Daniel Agger said: kwangu haisomi mkuu, inaniandikia file reading failed Click to expand... inaoneka hii sio LIVe
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Feb 1, 2020 Thread starter #18 Mr Misifa said: Ina play soma hapo kweny comment yangu ya juu Click to expand... ndio ina play ila sinaonekana sio live
Mr Misifa said: Ina play soma hapo kweny comment yangu ya juu Click to expand... ndio ina play ila sinaonekana sio live
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,666 Reaction score 6,742 Feb 1, 2020 #19 Mr Misifa said: Mbona kwangu inaplay bila shida nawe nae download app inaitwa max player itaplay bila shida mkuu Click to expand... Mkuu nilitumua compyuta, but kwa simu iko poa Sent using Jamii Forums mobile app
Mr Misifa said: Mbona kwangu inaplay bila shida nawe nae download app inaitwa max player itaplay bila shida mkuu Click to expand... Mkuu nilitumua compyuta, but kwa simu iko poa Sent using Jamii Forums mobile app