Nashindwa kuapdate GB WhatsApp . msaada please
Bado, ubavu wa ku-edit heading huna hadi uombe msaada tena.Nimesh edit umefurah
Ni tofauti. Umeinstall isiyo yenyewe. Mi nilijaribu na nimefanikiwa. Iko vizuri sana GB whatsapp. Hizo link za wadau hapo juu haziko direct hata mimi zilinisumbua sana. Nililazimika kuinstall Aptoide ndo nikadownload kule moja kwa moja kiulainiiMbona nime download na so far sioni tofauti yoyote na update mpya ya whatsap ya kawaida? Utofauti ni upi naomba kujuzwa wakuu
Privacy settings ziko more advanced? Niliwahi kutumia whatsap plus enzi izo ilikua unaweza ku hide hata online. Vipi iyo?Ni tofauti. Umeinstall isiyo yenyewe. Mi nilijaribu na nimefanikiwa. Iko vizuri sana GB whatsapp. Hizo link za wadau hapo juu haziko direct hata mimi zilinisumbua sana. Nililazimika kuinstall Aptoide ndo nikadownload kule moja kwa moja kiulainii
same here daahNime install gb whatsap kabla ya ku uninstall normal whatsap and now i have lots everything in my media... including all images n videos.. any idea how i can get them back [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Hukufanya backup beforesame here daah
Kwenye Aptoide siipat GB WhatsApp.Ni tofauti. Umeinstall isiyo yenyewe. Mi nilijaribu na nimefanikiwa. Iko vizuri sana GB whatsapp. Hizo link za wadau hapo juu haziko direct hata mimi zilinisumbua sana. Nililazimika kuinstall Aptoide ndo nikadownload kule moja kwa moja kiulainii
sio lazma uwe na application ya whatsappMpaka uwe na application ya wasap ndo uweze kutumia hii GBwasap? Na haina virus?
Kivipi mkuu, naomba maelekezo.sio lazma uwe na application ya whatsapp
pia haina virus
unaweza ukatumia hata accont zaidi ya mbili za whatsapp kwa namba tofauti
ipo 5.30
http://m.aptoide.com/app/net.app.gbwhatsguideinstall/guide-for-gbwhatsapp-4-7?lang=enKwenye Aptoide siipat GB WhatsApp.
Please help
maelekezo ya nini mkuu whatsapp mbili??au unazungumzia nini?fungukaKivipi mkuu, naomba maelekezo.
Wasap mbili.maelekezo ya nini mkuu whatsapp mbili??au unazungumzia nini?funguka
unainstall wasap ya kwanza(ya kawaida) kwenye simu yako kama unayo haina shida unaendeleaWasap mbili.
☆Steve