Msaada line ya Tigo inajizima data

mchushi

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
216
Reaction score
98
Line ya Tigo 4g inajizima data mara tu baada ya kuiwasha na pia inajidisconnect kila baada ya kuiconnect kwenye modem.....na ina bundle la 4gb ambalo nimejiunga jana inabidi litumike ndani ya week moja.....line ili8kuwa haijatumika kwa muda wa miezi miwili .....nilipoiweka jana wakanipa hiyo offer kwa tsh 2000 .......lakini nimeshindwa kuitumia mpaka sasa.....nimewapigia huduma kwa wateja wamenipa options ambazo hazijazaa matunda mpaka sasa, ambazo zilikuwa ni pamoja na kuweka tena salio la 1000 tsh ili kuiactivate account,mwenye idea namna ya kurekebisha tatizo hili,msaada pls.
 
Una uhakika shida ipo kwenye line na sio modem?
 
4G tigo band 1800 ipo kwenye majaribio, je kifaa chako kina band 800? kama hakina pengine tatizo ni hilo.

jaribu kueka 3G only uone kama tatizo linaendelea.
 
4G tigo band 1800 ipo kwenye majaribio, je kifaa chako kina band 800? kama hakina pengine tatizo ni hilo.

jaribu kueka 3G only uone kama tatizo linaendelea.
Asante ngoja nijaribu.
 
Kuna simu zinakuwa zimesetiwa data limit. Ikifikia hyo limit inazima data automatically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…