Msaada: Leseni ya biashara kwa ajili ya m-pesa

Tafuta line kama unayo leseni ya nini anza kazi wewe utachelewa sana, utaweka lesen hukp mbeleni.
 
Nahitaji line ya m-pesa, Tigo pesa, Air tell money Arusha, mwenye kuweza kunipatia pls.
 
Kupata TIN number TRA ni bure mkuu nenda utapewa ndio utatumia kuchukulia line ya Mpesa
 
Back
Top Bottom