Msaada-lenovo tablet imenishinda kutumia kama simu

TONGONI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,041
Reaction score
376
Wakuu naomba msaada,nimenunu Idea Tab Lenovo a3000-ambayo ina support 3G na pia ina ingia sim card mbili,naweza kutuma na kupokea messages lakini siwezi kupiga wala kupokea sm...kwa kuongezea tu skype-Viber hakuna tatizo lakini wattsup inakataa ku-download-Nimejaribu kufuatilia nimeona baadhi ya forums zikielekeza kuwa natakiwa ni update firmware to 4.4.2....naomba msaada wa mawazo nini nifanye au wapi niende.
Natanguliza shukrani.
 
Update firmware yake. They have included hiyo feature ya calling kwnye hiyo update. And for whatsapp, install .apk file directly, usitumie play store. Au unaweza kunitafuta tufanye kazi. I'm soo familiar na hiyo tablet
 
Nitakupata vp mkuu?
 
Unaweza kukutana na hii nyeusi ambayo kila kitu nisawa na nyeupe lakini hii haina matatizo unatumia kama sm na wattsAp unaweza download bila tatizo.
 
Last edited by a moderator:
Update firmware yake. They have included hiyo feature ya calling kwnye hiyo update. And for whatsapp, install .apk file directly, usitumie play store. Au unaweza kunitafuta tufanye kazi. I'm soo familiar na hiyo tablet
Shukrani sana Mkuu-nimefuata maelekezo yako nimefanikisha..imekubali.
 
Back
Top Bottom