Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
Hapo sasa!! Sikuuliza Bosi wangu Chief-Mkwawahio 1.9ghz na 1.6ghz ni aina gani? zinaandikwa mfano i3, i5, i7, a10, a8 nk
uliza kwanza ni muhimu sanaHapo sasa!! Sikuuliza Bosi wangu Chief-Mkwawa
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo. Ninataka kununua laptop kwa ajili ya shughuli zangu za kimasomo ikiwa pia ni pamoja na kutunza documents zangu muhimu.
Je, laptop ipi inanifaa?
Aina ya Laptop: HP
Hard Disk: 500GB
Processor: 1.9GHZ
RAM: 4GB
Nyingine ni:-
Aina ya Laptop: HP
Hard Disk: 1TB
Processor: 1.6GHZ
RAM: 4GB
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo. Ninataka kununua laptop kwa ajili ya shughuli zangu za kimasomo ikiwa pia ni pamoja na kutunza documents zangu muhimu.
Je, laptop ipi inanifaa?
Aina ya Laptop: HP
Hard Disk: 500GB
Processor: 1.9GHZ
RAM: 4GB
Nyingine ni:-
Aina ya Laptop: HP
Hard Disk: 1TB
Processor: 1.6GHZ
RAM: 4GB
Upo chuo gani?
Nataka kumfuata kabisa chuo kama kitakuwa karibu na nilipoSi umwambie kwanini unauliza au?
Nataka kumfuata kabisa chuo kama kitakuwa karibu na nilipo