poleni na shuguli.mimi natumia hp elitebook.tatizo juzi nilikuwa nikiwasha inaniambia window 32 file miss.restart.
kila nikirestart ola.saaa leo haiwaki..inaishia kuwaka taa ya power na feni kuunguruma tu kwa kasi.je nifanyeje hapa.au ndio mpaka.profesional fundi