Ndugu zangu, habari za juma pili, natumia laptop Hp, sijawahi kugusa chochote kwenye system, ila imetokea ghafla nikifungua chochote chenye sauti ie video, u tube, nyimbo na vingine vyote haitoi sauti kabisa, nimejaribu kuwasha kwenye sehemu ya spika(kialama cha mute) lakini sikufanikiwa! Pia nimejaribu kuzima na kuwasha bado haijakubali, hata pia kwa kugonga gonga bado haikubali! Je, nifanyeje? Asanteni
unagonga gonga tena? Don't do that,itakua ni driver issues unatumia OS au windows gani?
Restore your PC to an earlier
kivipi ndugu, embu nieleweshe vizuri niweze kufanya
Restore your PC to an earlier
jaribu kuchomoa betry then irudishie!!!!
Ndugu zangu, habari za juma pili, natumia laptop Hp
Pia nimejaribu kuzima na kuwasha bado haijakubali, hata pia kwa kugonga gonga bado haikubali!
Taja version name/product name ya hiyo HP uitumiayo...
Tatizo la sauti huwezi kulitatua kwa namna hii...
Yangu ni HP kama yako, ilikuwa inasumbua sauti nilijaribu kila njia ikagoma, nikawa natumia earphone ikaanza kupona ila ikawa inachagua media za kutoa sauti.
Inaelekea hili ni tatizo kubwa la hp
Tumia ear phone kusikilizia kama sauti inasikika ujue spika zimeungua kama haitoi sauti ujue kuna audio driver problem