poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 453
- 175
habari wadau,
naomba msaada wenu ktk hii laptop yangu nimejaribu sana kupata screenshot lakini inakataa.Nikijaribu kutumia on screen keyboard kupiga screenshot inakubali lakini keyboard ya laptop inakataa.
laptop yangu ni compaq presario CQ40
1. tafuta batani iliyoandikwa PrtSc, maana yake Print Screen, then bofya hiyo batani.ukitumia on screen keyboard huwa unabonyeza key gani? na unatumia program gan kufanya screenshot?
GP Nlikua namuuliza poposindege ene wei umesomeka1. tafuta batani iliyoandikwa PrtSc, maana yake Print Screen, then bofya hiyo batani.
2. nenda kwenye Programs , then Accesories, then chagua Paint.
3. program ya Paint ikishafunguka, nenda kwenye Edit , kisha chagua Paste, au tumia shortcut CtrL ikifuatia na V, bofya Ctrl + V
4. baada ya hapo waweza kufanya editings zingine kama crop, resize, color, text etc
GP Nlikua namuuliza poposindege ene wei umesomeka
Daaah, mkuu umeonekana ulikuwa hujui! teh teh teh!
mkuu hapa naona hujanielewa, nami sikujua kwamba ulikuwa hujui, I thought ulikuwa unajua na ukamaanisha nilichoandika. Maybe my sense of humor spilt, sorry for inconvenience.eee nlikua cjui nimeelewa kwani kutokujua ni ajabu!
mkuu hapa naona hujanielewa, nami sikujua kwamba ulikuwa hujui, I thought ulikuwa unajua na ukamaanisha nilichoandika. Maybe my sense of humor spilt, sorry for inconvenience.
pamoja mkuu, JF darasa tosha!.wadau nashukuru sana nimefanikiwa.Napiga screenshot kama kawa ahsanteni sana.Ngoja nibofye kitufe cha like