Msaada: Laptop screen ina mistari kibao

Msaada: Laptop screen ina mistari kibao

NITATOA USHUHUDA

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2017
Posts
757
Reaction score
730
Hili tatizo lilianza kama utani _mstari mmoja horizontal lakini sasa imejaa na inafanyaflickering
 
Display ina shida. Dawa ni kubadili tuu. Nitajie size ya display tufanye biashara
 
I'm not comp geek but i faced the same problem with sony vaio.
Sio display mkuu. Utapoteza pesa bure. Tatizo lipo ndani so inahitajika kuifungua na kusafisha na ikiwezekana kufanya replecement ya some part. Check youtube zipo videos nyingi tu zinazoongelea tatzo hilo. Na huwa linajirudia after someime so ushauri wangu ni kununua nyingine coz wakali wenyewe wa comp bado hawaikubari sana njia ya kusafisha na kureplace some part coz tatzo huwa linajirudirudia.
 
Kuna matatizo ya display yanayo sababishwa na 1. display yenyewe na yanayo sababishwa na 2. graphic card (Wewe umelenga hapa) Kwa jinsi alivyo eleza mwanzo wa tatizo lake shida ipo kwenye kioo. Sababu tatizo lilianza na mstari mmoja na minhine kuendelea. Pia hata tatizo la graphic haliwez tatuliwa kwa kusafisha pc. May be kama kuna uchafu au miscommunication kwenye mkanada (Flex cable) ndio laweza kuwa sababu.

Lakini ukitaka kujua shida ipo wapi kati ya kioo au Graphic card (GPU) ni wakati wa kuwasha pc.
Kama Ukishawasha pc same second kioo kina onyesha mistari kabla ya windows kustart iyo ni issue ya kioo.

Na matatizo amabayo yapo associated na Graphic card(GPU) ni 1. White scree. Yani kioo kinakuwa na mwanga mweupe. 2. Kioo ku scrtch kama unaangalia Tv na deck au kama unatumia fish wakati wa Mvua.

So nimuhakikishie huyo jamaa issue yake ipo kwenye kioo according to personal troubleshoot.
 
Kuna matatizo ya display yanayo sababishwa na 1. display yenyewe na yanayo sababishwa na 2. graphic card (Wewe umelenga hapa) Kwa jinsi alivyo eleza mwanzo wa tatizo lake shida ipo kwenye kioo. Sababu tatizo lilianza na mstari mmoja na minhine kuendelea. Pia hata tatizo la graphic haliwez tatuliwa kwa kusafisha pc. May be kama **** uchafu au miscommunication kwenye mkanada (Flex cable) ndio laweza kuwa sababu.

Lakini ukitaka kujua shida ipo wapi kati ya kioo au Graphic card (GPU) ni wakati wa kuwasha pc.
Kama Ukishawasha pc same second kioo kina onyesha mistari kabla ya windows kustart iyo ni issue ya kioo.

Na matatizo amabayo yapo associated na Graphic card(GPU) ni 1. White scree. Yani kioo kinakuwa na mwanga mweupe. 2. Kioo ku scrtch kama unaangalia Tv na deck au kama unatumia fish wakati wa Mvua.

So nimuhakikishie huyo jamaa issue yake ipo kwenye kioo according to personal troubleshoot.
OK. As I said I'm not comp geek. I shared what I experienced.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom