Kariakoo ni pango la bidhaa fake!Nenda insta huko mkuu
Zipo laptop kibao kwa bei nzuri kariakoo
Brand mi huwa siangalii sana ila dell ndio nzuri.Shukran mkuu..brand gani unarecommend??
Ninayo njoo PM tuongeeWadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nahitaji laptop yenye speed nzuri kwa ajiri ya kazi ya blogging.
Naomba specification za kuzingatia ikibidi na brand ambayo angalau itaweza kudumu!!