toa betri toa waya wa adapter ibaki bila supply. bonyeza kitufe cha kuwashia na ukishikilie kwa sek 45. kisha weka adapter bila betri washa mashine yako. zima kawaida urudishe betri.
enjoy!
Poleni kwa hayo matatizo ya laptop zenu. Nashauri kila unapohitaji msaada wa kitu kama hicho, weka aina, model na tatizo la kifaa husika (uwe specific) ili kama kuna mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama la kifaa chako na akapata ufumbuzi aweze kuchangia.Nilizima haraka haraka ikiwa na low charge nilipowasha imegoma nikaweka charge ikagoma nimejaribu kutoa betri na kurudishia pia imegoma msaada pls
toa ram moja moja ukirudia procedure hapo juu. possibility ya ram kufa ipoNimejaribu but still imegoma kuwaka