chief ulipata msaada?Laptop ni dell latitude D630
Ilkata sauti ghafla, speaker hazitoi sauti wala ukichomeka earphone haitoi sauti pia.
Nimebadilisha window na driver mara nyingi mpaka zinaniambka zipo up to date ila bado sauti haitoki.
Msaada nifanyeje, shukrani.
Hakuna namna,. Kama chip inayohusika na sauti ishaungua, hamna jinsi.Laptop ni dell latitude D630