Hivi karibuni Laptop yangu hai detect Sony Camera yangu kwa kutumia USB cable ambapo siku za nyuma ilikuwa ina detect. Kuna picha nataka kuzihamisha. Nimetumia card reader pia lakini sijafanikiwa kuziona picha. Kwenye camera picha zinaonekana. Naomba msaada nifanyeje. Kuna picha nisingependa kuzipoteza. Asante kwa msaada wenu.