Wanajamii!!
Ninaomba kwa anayejua anisaidie, ninataka kununua laptop nzuri na mpya kabisa. Bahati mbaya mimi si mtaalamu kabisa wa kompyuta (laptop) ingawa ninajua kutumia kifaa hicho.
Ninaomba mnifahamishe ,ninunue laptop ipi na ni bei gani? Na kama mawasiliano yapo ya wauzaji, ninaomba yawekwe hapa.
Natanguliza Shukrani
Mi nina Tsh kuanzia 700,000 hadi 1,000,000
Mi nina Tsh kuanzia 700,000 hadi 1,000,000
Weka specs za laptop kali zaidi ulizonazo sababu nataka kununua laptop yenye specs kubwa zaidi ya niliyonayo, iwe ni mpya. Specs ya laptop niliyonayo ni i5, 64bits, 2.6GHz inaboost mpaka 3.2GHz, hard disk ni 1TB, Ram ni 8GB na ni 15.6" Touch Screenmimi ninazo mashine za gaming. .ni mpya na zingine used for less than one month. nichek 0656627662
Unataka hiyo pc kwa ajili ya matumizi gani?
Matumizi yanabadilika
mi monyewe sio mtaalamu wa laptop jamani, je naweza kupata HP Notebook kwa laki nane, hiyo ndo bajeti yangu wakuu
Hayo mambo hata siyajui, ila naitaji tuu kwa matumizi ya kawaida ya kishuleshule kama kusave tuu documents, ila mi nnimpenda movies za kuwatch online
njoo uchukue mi nnazo zipo kweny excellent condition .
una laptop zenye ssd?
ilikuepo envy moja ssd 128 tu.
ilikuepo envy moja ssd 128 tu.