SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,795
- 1,309
Wakuu amani iwe nanyi, wakuu naombeni msaada wenu ninapo ingia whatsapp napata ujumbe huu "YUOR PHONE NUMBER 255******* IS NO LONGER ALLOWED TO USE OUR SERVICE. ule mwaka mmoja wa kutumia bure umeisha je kuna namna yoyote naweza endelea kutumia hii huduma bila malipo? naombeni msaada wenu wana jukwaa, natanguliza shukrani na heri ya Pasaka kwenu.