Msaada kwenye WhatsApp yangu

kakamgeni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2018
Posts
241
Reaction score
201
Asalaam Aleikum Ndugu Zangu, Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Kiafya Na Mnaendelea Na Majukumu Ya Kila Siku
Ya Kujenga Taifa[emoji1241]

Nahitaji Msaada Kwa Upande Whatsapp Yangu Ambapo Awali Nilikuwa Naweza Ku-Forward Message Kwenye Zaidi Ya Ma-Group Matano Kwa Wakati M1 Ila Sasa Hivi Imekuwa Mtikhani

Nahitaji Msaada Katika Hili
 
Mkuu ni feature mpya hiyo wameiweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…