Mimi ni Kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni diploma ya IT.
Baada ya kuona soko la ajira limekua ni gumu ninawaza kujiari kwa mtaji wa 3m.
Kwa wenye uzoefu na biashara ni aina gani ya biashara inaweza kunitoa kimaisha.
Ingawa kuna wakati huwa Nawaza kuhonga pesa ili nipate kazi je ninakua sahihi?
NB. Kuna Kipindi nilijaribu kufanya biashara kwa mtaji wa 1m lakini nikafeli na nilijuta sana
Naishi Dar es salaam natanguliza shukran